Sunday, June 30, 2013

JE WAJUA RAIS BARACK OBAMA ALIVYOPOKELEWA AFRICA KUSIN ANGALIA NA SOMA MABANGO



Akiwa na mwenyeji wake Rais Jacob Zuma kulia kwao ni wake zao. 
Waandamanaji wakiwa tayali kuanza maandamano ya Amani. 
HIVI NDIVYO MAMBO YALIVYOKUWA KATIKA VIUNGA VYA MKI WA CAPE TOWN.

Moja la bango la waandamanaji likiwa chini. 

Kama unavyojionea mwenyewe.


kazi kweli kweli. 

Wakiyaandaa mabango . 

Uku ikiwa wanakumbuka kwamba kiongozi wao wa kwanza Mweusi Mzee Nelson Mandela yuko Hospitali akiendelea kupata matibabu kutokana na hali yake kuwa mbaya Baadhi ya wananchi wa Afrika kusini walijitokeza nje ya ukumbi wa Bunge mjini Cape Town kuandamana kupinga ziara ya Rais wa Marekeni Obama,uku wakiwa na Mabango yenye kuonyesha ujumbe mbalimbali kwa rais huyo


No comments:

Post a Comment