Tuesday, July 9, 2013

HERRY GUY FT BEST NASO -NIMERUDI


Nimerudi ni track mpya iliyofanyika ndani ya Chief Record chini ya mtayarishaji ChiefMaker! Track hii ni mwendelezo wa chali wa kimasai anayekwenda kwa jina Heriel Joseph a.ka Herry Guy toka katika kundi la Hegajo Squad akishirikiana vyema Best Nasso Pata kusikia kwa mara ya kwanza kutoka hapa.

No comments:

Post a Comment