Thursday, September 5, 2013

Rais mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa awa mgeni rasmi Ufunguzi wa Awamu ya Pili ya Mpango mkakati wa kuendeleza sekta ya Afya nchini


Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Tanzania, Benjamin Mkapa  ambaye alikuwa mgeni rasmi akitoa risala ya ufunguzi wa awamu ya pili ya  mpango mkakati wa kuendeleza sekta ya Afya kwa wananchi wa Vijijini mwaka 2013-2018  katika halfa ya  chakula cha usiku kilichoandaliwa  na  Taasisi ya Benjamin William Mkapa kwa kushirikiana na Kampuni ya Montage  iliyofanyika  Serena Hotel, jijini Dar es Salaam.
Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Tanzania  Mh. Benjamin Mkapa  ambaye alikuwa mgeni rasmi akitoa risala ya ufunguzi wa awamu ya pili ya  mpango mkakati wa kuendeleza sekta ya Afya kwa wananchi wa Vijijini mwaka 2013-2018  katika halfa ya  chakula cha usiku kilichoandaliwa  na  Taasisi ya Benjamin William Mkapa kwa kushirikiana na Kampuni ya Montage  iliyofanyika  Serena Hoteli jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Taasisi isiyo ya kiserikali ya Benjamin William Mkapa  Dk. Ellen Senkoro  akitoa historia fupi wakati wa ufunguzi wa mpango mkakati wa Taasisi hiyo kwa mwaka 2013-2018 katika halfa ya chakula cha usiku kilichoandaliwa na Taasisi hiyo na kuhudhuliwa wadau mbalimbali  katika Hoteli ya   Serena jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Taasisi isiyo ya kiserikali ya Benjamin William Mkapa  Dkt.Ellen Senkoro  akitoa historia fupi wakati wa ufunguzi wa mpango mkakati wa Taasisi hiyo kwa mwaka 2013-2018 katika halfa ya  chakula cha usiku kilichoandaliwa na Taasisi hiyo na kuhudhuliwa wadau mbalimbali  katika Hoteli ya   Serena jijini Dar es Salaam.
Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Tanzania kulia, Benjamin Mkapa  ambaye alikuwa mgeni rasmi akifungua rasmi Mpango mkakati wa awamu ya pili kwa mwaka 2013-2018  wa Taasisi isiyo ya kiserikali ya Benjamin William Mkapa  katika  halfa ya chakula cha usiku kilichoandaliwa  na  Taasisi  hiyo kwa kushirikiana na Kampuni ya Montage katika Hoteli ya   Serena jijini Dar es Salaam,kushoto ni Mkuregenzi wa Taasisi hiyo Dk. Ellen Senkoro.
Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Tanzania kulia, Benjamin Mkapa  ambaye alikuwa mgeni rasmi akifungua rasmi Mpango mkakati wa awamu ya pili kwa mwaka 2013-2018  wa Taasisi isiyo ya kiserikali ya Benjamin William Mkapa  katika  halfa ya chakula cha usiku kilichoandaliwa  na  Taasisi  hiyo kwa kushirikiana na Kampuni ya Montage katika Hoteli ya   Serena jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkuregenzi wa Taasisi hiyo Dk. Ellen Senkoro

Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Tanzania Benjamin Mkapa  ambaye alikuwa mgeni rasmi akikabidhi cheti cha shukrani kwa Bi .Mera Mathew Mkurugenzi wa Maendeleo wa Shirika la Irish  wakati wa ufunguzi wa  Mpango mkakati wa awamu ya pili kwa mwaka 2013-2018  wa Taasisi isiyo ya kiserikali ya Benjamin William Mkapa  wakati wa hafla ya  chakula cha usiku kilichoandaliwa  na  Taasisi  hiyo kwa kushirikiana na Kampuni ya Montage katika Hoteli ya   Serena jijini Dar es Salaam.
Rais Mstaafu wa awamu ya tatuTanzania  Mh. Benjamin Mkapa  ambaye alikuwa mgeni rasmi akikabidhi cheti cha shukrani kwa Jonson Mshana mwakilishi kutoka Banki M katika ufunguzi wa Mpango mkakati wa awamu ya pili kwa mwaka 2013-2018  wa Taasisi isiyo ya kiserikali ya Benjamin William Mkapa   wakati  wa halfa ya chakula cha  usiku kilichoandaliwa  na  Taasisi  hiyo kwa kushirikiana na Kampuni ya Montage katika Hoteli ya   Serena jijini Dar es Salaam.
Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Tanzania  Mh. Benjamin Mkapa  ambaye alikuwa mgeni rasmi akikabidhi cheti cha shukrani kwa Rahel Sheiza Mkurugenzi Mipango wa  Taasisi isiyo ya kiserikali ya Benjamin William Mkapa  katika ufunguzi wa Mpango mkakati wa awamu ya pili kwa mwaka 2013-2018    katika wa halfa ya chakula cha usiku kilichoandaliwa  na  Taasisi  hiyo kwa kushirikiana na Kampuni ya Montage katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
Wageni waalikwa wakifuatilia kwa umakini matukio mbalimbali katika wa halfa ya chakula cha usiku kilichoandaliwa na Taasisi isiyo ya kiserikali  ya Benjamin William Mkapa wakati wa ufunguzi wa mpango mkakati  wa  awamu ya pili kwa mwaka 2013-2018 katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
Wageni waalikwa wakifuatilia kwa umakini matukio mbalimbali katika wa halfa ya chakula cha usiku kilichoandaliwa na Taasisi isiyo ya kiserikali  ya Benjamin William Mkapa wakati wa ufunguzi wa mpango mkakati  wa  awamu ya pili kwa mwaka 2013-2018 katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
Wanamuziki wa  nyumba ya vipaji Tanzania(THT) wakitoa burudani kwa wageni waalikwa waliofika katika halfa ya chakula cha usiku kilichoandaliwa na Taasisi isyo ya kiserikali ya Benjamin William Mkapa wakati wa ufunguzi wa awamu ya pili ya mpango makakati kwa  mwaka 20013-2018 wa Taasisi hiyo katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
Wanamuziki wa  nyumba ya vipaji Tanzania(THT) wakitoa burudani kwa wageni waalikwa waliofika katika halfa ya chakula cha usiku kilichoandaliwa na Taasisi isyo ya kiserikali ya Benjamin William Mkapa wakati wa ufunguzi wa awamu ya pili ya mpango makakati kwa  mwaka 20013-2018 wa Taasisi hiyo katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam. (Picha zote na  Lorietha Laurence -Maelezo)

No comments:

Post a Comment