Tuesday, August 26, 2014

MTU MMOJA AFARIKI NDANI YA MAJI MTO GOLINDOI JIJINI ARUSHA

 umati wa watu wakishuhudia mwili wa mtu aliyekutwa akiwa amefariki kwenye maji mto Goliondoi karibu na kania katolika la Mt Terresia Jijini Arusha picha zote na Gasper Sambweti wa http://sambweti.blogspot.com

 umati wa watu wakiangalia na kuutambua mwili wa mtu aliyekutwa amefariki dunia ndani ya maji
hapa ndipo ulipokutwa mwili huo ndani ya maji  picha hii inaonyesha sehemu hiyo baada ya mwili huo kuondolewa na marehemu alikutwa akiwa bila bila nguo bali nguo ya ndani tu

Ni katika eneo la  mto  Goliondoi karibu kabisa na kanisa katolik strezza mjini  kati

Tukio hilo la kusikitisha limetokea leo  asubuhi na mwili wa marehemu umegundulika majira ya saa sita mchana ukiwa ndani ya maji

mwili wa marehemu huyo aliyetambulika kwa majina ya Terry Zablon Munuo umekutwa na kugunduliwa na wapita njia   ukiwa umelala ndani ya maji kwa ubavu  , na kuacha sehemu ndogo tu ya mkono na mbavu ,sehemu zilizofanya kugundulika na wapita njia hao

kaka wa marehemu aliyejitambulisha kwa majina ya John munuo  amesema amesikitishwa na kifo hiki kwani marehemu walionana leo asubuhi na marehemu anasemekana hana mke wala mtoto na umri wake unakadiriwa ni miaka 28 na  30

marehemu Terry alikuwa mfanyabiashara ndogondogo katika soko kuu la Arusha  na ni mwenyeji wa  machame mkoa wa kilimanjaro,

polisi wamefika eneo la tukio na kwa kusaidiana na kaka wa marehemu na kuondoa  mwili huo kutoka ndani ya maji, nakuupeleka  katika hospital kuu ya mkoa ya mount meru kuhifadhiwa

na polisi wanaendelea na uchunguzi wa tukio hilo  lilozua simanzi, vilio na mshangao kwa mamia ya watu waliofika kushuhudia tukio hilo  la kusikitisha.

kutoka eneo la mto Goliondoi jijin Arusha mimi ni Gasper sambweti  g sambweti blog

No comments:

Post a Comment