Wednesday, May 18, 2016

MATUKIO KATIKA PICHA VIWANJA VYA BUNGE MJINI DODOMA LEO

Mbunge wa Bariadi Magharibi Mhe. Andrew Chenge (kushoto) akibadilishana mawazo leo mjini Dodma na Mbunge wa Mbeya Mjini Mhe.Joseph Mbilinyi(kulia) wakati wa mapumziko ya mchana. 
Baadhi ya Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambao pia wamewahi kuwa walimu wakiwa katika picha ya pamoja leo mjini Dodoma wakati wa mapumziko ya mchana. 
Baadhi ya Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambao pia wamewahi kuwa walimu wakiwa katika picha ya pamoja leo mjini Dodoma wakati wa mapumziko ya mchana 
Baadhi ya Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambao pia wamewahi kuwa walimu wakiwa katika picha ya pamoja leo mjini Dodoma wakati wa mapumziko ya mchana 
Mbunge wa Jimbo la Vunjo Mhe. James Mbatia (kushoto), akibadilishana mawazo leo mjini Dodma na Mbunge wa Chalinze, Mhe. Ridhiwan Kikwete, wakati wa mapumziko ya mchana.
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni , Sanaa na Michezo  Mhe. Anastazia Wambura (kushoto) akibadilishana mawazo leo mjini Dodoma na  Mbunge wa Jimbo la Kiembe Samaki Ibrahim Raza. 
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni , Sanaa na Michezo  Mhe. Anastazia Wambura (kushoto) akibadilishana mawazo leo mjini Dodoma na  Mbunge wa Jimbo la Kiembe Samaki Ibrahim Raza.

No comments:

Post a Comment