| Mtoto wa RasOmega toka River camp soldiers,Sinoni Arusha anayejulikana
kama YungOmega aka Party pipo anarelease single yake ya tatu sasa aloipa
jina "chafukwa na Roho" ikiwa ni exclusive joint kwaajili ya pipoz
tunaostruggle kupita maelezo kwasababu ya uongozi hewa,Ufisadi
uliokithiri na rushwa ilotawala mitaa yetu kote nchini.YungOmega ni
mmojawapo kati ya Upcoming Concious RaggaDancehall artists wa kaskazini
na joint limesukiwa pande za noizmekah.com
kwa defxtro,Nimeshapanda show kibao na kwa wanaonipa support,wasikose
kuibuka pande za sheikh amri Abeid siku ya iddi mosi mamchana ntachana
pale alafu watu wangu wa Monduli ntaibuka pande zenu usiku wa iddi mosi
pale Emanyatta lodge kwa bonge la Ragga show nikiwa na Majembe
Bounako,Moplus DopDoi na FidoVato |
|
|
|
|
No comments:
Post a Comment