MSANII JOMRI KATIKA FILAMU YA DEATH AGENT [Wakala wa Kifo]
Msanii JOMRI anayefanya muziki wa Dancehall Arusha anazidi kuonyesha kipaji kwa kuandaa filamu iitwayo "Death Agent" ikiwa ni Arusha Movie Directed by Jomri & Kasim toka "SMART FILM PRODUCTIONS" & "PARADISE VIDEOS" huku Main Cast ikiwa ni Maponyoo, Toby, Mima pamoja na Jomri na wasanii wengine toka Paradise Arts Generation [P.A.G.E]. Location kuu ni maeneo ya Usa River na Danish Hostels Arusha huku theme ya filamu hii ikiwa ni Horror/Action/Dramatic film inayogusia mihangaiko ya maisha.For more info visit facebook.com/shiners Movie hii ya Death Agent itazinduliwa mwezi wa Nane,stay tuned
wasanii wakiendelea kufanya yao
hapa kazi inaendelea
du unaweza kuogopa na kukimbia hii ni moja kati ya scene zinazotengenezwa
No comments:
Post a Comment