Taarifa
ya kifo cha Mzee Nelson Mandela imetangazwa na rais wa Afrika Kusini
Jacob Zuma saa saba kasoro usiku wa kuamkia Dec 6 2013 ambapo amefariki
akiwa na miaka 95.
Taarifa ya CNN imesema Madaktari wa Mzee huyu ambao walikua
wakipokezana kukaa nae kwa saa 24, wamesema Mzee Mandela kwenye kipindi
hiki cha mwisho dawa zilimzoea mpaka zikashindwa kufanya kazi, yani
mwili wake ulikua tayari umezoea dawa na hata ziwe kali vipi… hazikuweza
kufanya kazi kikamilifu.
No comments:
Post a Comment