Watendaji na viongozi wa CCM na Jumuiya zake ngazi ya Kata, Jimbo la Temeke wapewa mafunzo ya kuwajengea uwezo
Mwenyekiti
wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Kinondoni Salum Madenge
akifungua mafunzo ya kuwajengea uwezo watendaji na viongozi wa Chama Cha
Mapinduzi na Jumuia zake ngazi ya kata, katika Jimbo la Temeke, Dar es
Salaam, leo, Julai 18, 2014 katika ukumbi wa CCM Uwanja wa Taifa. Kulia
ni Mbunge wa Temeke, Abbas Mtemvu na Kushoto ni Katibu Mwenezi wa Wilaya
ya Temeke Rutami Masunu.
Baadhi ya washiriki wakiwa kwenye mafunzo hayo
Katibu
Mwenezi wa wilaya ya Kinondoni, Mwinyimkuu Sangaraza, akitoa mada
kuhusu wajibu na majukumu ya Katibu wa Uchumi na Fedha kwa mujibu wa
katiba ya chama, wakati wa mafunzo hayo.
Kada wa CCM, Badili Mangula akitoa mada kuhusu wajibu wa Katibu kwa mujibu wa Katiba.
Mwenyekiti wa CCM, Kinondoni, Salum Madenge akiziungumza na waandishi baada ya kufungua mafunzo hayo elekezi.
Mbunge wa Temeke, Abbas Mtemvu akizungumza baada ya kufunguliwa mafunzo hayo. (Picha zote na Bashir Nkoromo- theNkoromo Blog)
No comments:
Post a Comment