Saturday, August 18, 2012

Happy birthday Paul Joseph



Mhariri mkuu wa blogu ya Sambweti.blogspot.com wanakutakia siku njema ya kumbukumbu ya kukumbuka siku yako ya kuzaliwa.

katika siku hii kumbuka kuwaheshimu wazazi wako na wale wote ambao wanakuwezesha kuishi katika dunia  kumbuka ujana  ni maji yamoto na ukiyaacha yatapoa.
kaka pigana na mtumikie mungu katika maisha yako  na hautapungiwa katika maisha yako blog hii inakutakia maisha marefu  katika kazi zako hakikisha jamii inapata huduma kutokana na taaluma yako  ya uhandishi wa habari bila kusahau kuendeleza ALAGWA VIDEO PRODUCTION




1 comment: