Mhariri mkuu wa blogu ya Sambweti.blogspot.com wanakutakia siku njema ya kumbukumbu ya kukumbuka siku yako ya kuzaliwa.
katika siku hii kumbuka kuwaheshimu wazazi wako na wale wote ambao wanakuwezesha kuishi katika dunia kumbuka ujana ni maji yamoto na ukiyaacha yatapoa. |
kaka pigana na mtumikie mungu katika maisha yako na hautapungiwa katika maisha yako blog hii inakutakia maisha marefu katika kazi zako hakikisha jamii inapata huduma kutokana na taaluma yako ya uhandishi wa habari bila kusahau kuendeleza ALAGWA VIDEO PRODUCTION
Asante sana G sambweti
ReplyDelete