KALA JEREMIAH,OMMY DIMPOZ WATISHA KWA KUZOA TUZO TATU ..........
2. MTUNZI BORA WA MASHAIRI YA TAARABU- THABIT ABDUL
3. WIMBO BORA WA MWAKA TAARABU- KHADIJA KOPA
4. MTAYARISHAJI BORA WA TAARABU- ENRICO
5. MSANII BORA WA KIKE TAARABU- ISHA MASHAUZI
6. MSANII BORA WA KIUME TAARABU- MZEE YUSUPH
7.Wimbo bora wa bongo POP mshindi ni OMMY DIMPOZ
8. Msanii bora wa Kiume - Diamond Platnumz
9. Wimbo Bora Wa Mwaka - Dear GOD
10. Msanii bora wa HipHop - Kala Jeremiah
11. Mtunzi Bora wa mashairi ya hip hop - Kala Jeremiah
12. Wimbo bora wa Kolabo - Me N You
13. Video Bora ya Mwaka - Baadae
14. Kundi Bora la mwaka - Jambo Squad
15. Nyimbo Bora ya Reggae - Warriors
16. Nyimbo bora ya RnB - Rama dee ft. Mapacha
msanii bora wa kike je??
ReplyDeleteMSANII BORA WA KIKE TAARABU- ISHA MASHAUZI
Delete