Tuesday, June 25, 2013

BAADA YA JANA JOYCE KIRIA (MTANGAZAJI WA EATV) KUOMBA KUJUA MUMEWE ALIPO HATIMAYE APATA MAJIBU


HENRY KILEO MUME WA JOYCE KIRIA

Kaimu  Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mkoa wa  Dar es Salaam, Henry Kilewo (pichani -   juu na  katikati)  akiwa na watuhumiwa wenzake (chini) ndani ya gari ya Polisi  walipofikishwa Mahakamani kwa mara ya kwanza  huko  Igunga - Tabora. Bw Kilewo na wenzake wanatuhumiwa kuhusika  na  tukio la kumwagiwa tindikali, Musa Tesha mwanachama wa CCM wakati wa kampeni za uchaguzi wa Ubunge wa jimbo la Igunga mnamo tarehe 9/9/2011 katika msitu wa Hanihani huko wilayani Igunga, kesi yao imeghairishwa hadi tarehe  8/7/2013

No comments:

Post a Comment