| Baadhi ya waandihi wa habari mkoa wa Kilimanjaro wanaoshirki mafunzo ya Internet kwa waandishi wa habari wa mikoani yanayotolewa na MISA Tanzania kwa kushirikiana na VIKES. |
| Mratibu wa Mafunzo ya Internet ,Andrew Marawiti akitoa ufafanuzi wa jambo wakati wa mafunzo hayo. |
| Baadhi ya washiriki wakifuatilia mafunzo kwa makini. |
| Wengine somo lilionekana kuwa gumu kiasi ikawalazimu kutizama ukurasa mweupe katika Competer zao. |
| Mmoja wa wakufunzi katika mafunzo hayo Seif Jigge akitoa maelezo kwa wanahabri wanaohudhuria mafunzo ya Internet yanayofanyika katika Chuo cha Ufundi VETA mkoa wa Kilimanjaro |
| Baadhi ya washiriki katika mafunzo hayo. |
| Darasa likiendelea. |
| Kila mshiriki alikuwa na kazi ya kufanya kipindi chote cha mafunzo. |
| Baada ya kujifunza kwa muda mrefu darasa lililazimika kusimama na kunyoosha mwili kidogo. |
| Ukafika Muda wa chakula kwa wenzetu ambao hawako katika mfungo. |
| Washiriki wakapata picha ya pamoja. |
Na Dixon Busagaga wa globu ya jamii kanda ya kaskazini.
No comments:
Post a Comment