Thursday, July 10, 2014

SAMAHANI KWA WASOMAJI

Mhariri  mkuu wa blog hii Gasper Sambweti kwa heshima na taadhima na kujua umuhimu wa kuhabarisha jamii ya watanzania,kukosoa na kutoa burudani.

Kwa niaba ya uongozi mzima pamoja na wafanyakazi  wakiwemo mafundi mitambo pamoja na wanahabari wanaopatikana mikoa mbalimbali  nchini Tanzania

Nachukua nafasi  hii kuwaomba radhi kwa usumbufu ulijitokeza kwa blog hii kushindwa kuwahabarisha  kweli tunakiri kosa la kushindwa  kuwajibika hivyo tunaomba mtuwie radhi kwa usumbufu  uliojitokeza  kwa wasomaji wetu

Na kwa upande wa wasanii wote ambao  wametuma nyimbo zao nao hawakuona  mtandaoni tunaomba radhi na tunaahidi kuzichapisha  nyimbo zenu haraka iwezekanavyo.

Kwa sasa ofisi  na makao makuu ya blog hii yako jijini Arusha  hivyo tunawakaribisha wasomaji wetu wote kuungana nasi kwa kusoma habari zetu pamoja na kutoa taarifa zote ambazo jamii ya kitanzania inapaswa kujua.

Kumbuka kuchapisha habari ni bure ila matangazo yanalipiwa  wasiliana na G sambweti kwa email hii sambweti@gmail.com na simu namba 0755 656 445

G SAMBWETI KWA HABARI NA BURUDANI WATU WOTE MNAKARIBISHWA

No comments:

Post a Comment