Juni
2, 2012 Mwemyekiti wa Makampuni Tanzi ya IPP, aliwakutanisha
wafanyakazi wakae wote wa makampuni yake katika tafrija kubwa na yaiana
yake iliyofanyika katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Burudani
kutoka kwa B Band chini ya Banana Zoro na Zahir Ali Zoro iliporomoshwa
vilivyo huku wafanyakazi hao wakifurahi kwa kjula na kunywa.
Wafanyakzi wakishow love katika picha
Wengine walichukua kumbukumbu na mzee mzima Zahir Zoro
Burudani mwanzo mwisho
Amour Hassan akilamba picha na Banana Zoro wa B Band katika Red Carpet ya ya tafrija hiyo.
No comments:
Post a Comment