Friday, September 7, 2012

kwa wale wadashost wenye mvuto wanaopenda kuonekana ndani ya kichupa basi wakae tayari
kwa video ya SLIM G FINEST BIJUMO kutoka pande za kenya tayari kabisa kwa kutoa video ya wimbo wake uitwao maumivu ya moyo akiongea na mhariri wa blog hii SLIM G amesema ndani ya wiki ijayo atakuwa tayari kashatua ndani ya jiji la maraha Dar es salaam tayari kabisa kufanya  video hivyo .





kwa habari zaidi au mawasiliano na SLIM G bonyeza link hii slimg.bijumo@facebook.com /ili uweze kumtumia sms na kujua nini basi kitaendelea kwa habari zaidi endelea kusoma blog yako hii ya HABARI NA BURUDANI
www.facebook.com/slimg.bijumo

No comments:

Post a Comment