Tuesday, September 4, 2012


 Waandishi wa Habari wakiwa wamebeba Mwili wa Marehemu kuelekea Makabirini
Wakiwa wanafanya ibada ya Mwisho kabla ya kuanza maziko
Hapa wakiwa wanashusha mwili wa marehemu katika Nyumba yake ya milele
Mwili wa Marehemu Daudi Mwangosi ukiwa Tayari katika Kaburi
Shughuri za kuzika zimeanza
 Mazishi yanaendelea 
 Mke wa Marehemu Daudi Mwangosi akiweka Shada la Mauwa kwa machungu
 Mke wa Daudi Mwangosi akiwa analia kwa uchungu katika Kaburi la Marehemu Mumewe 


 Watoto wa Marehemu wakiwawanaweka mashada ya maua sasa 
Ni ngumu sana Kuamini kwa mke wa Marehemu lakini hali ndivyo ilivyo kuwa akiwa na huzuni kubwa
 Dr Slaa akiweka Shada la Mauwa 
Dr Slaa Baada ya kumaliza kutoa heshima za mwisho
Mh. Mark Mwandosya akiweka Taji la maua pamoja na mke wake 
 Rais wa UTPC akiweka shada la Maua
 Ndugu wa Marehemu akiweka shada la Maua

Mwenyekiti wa Mbeya Press Club akiweka shada la maua 
Mwandishi Mkuu wa Mbeya  yetu, Ndugu Joseph Mwaisango akiwa anatoa heshima zake za Mwisho katiaka Kaburi
Wananchi wakiwa wanarejea baada ya mazishi

Waandishi wa Habari wakichukua Tukio Live `
Na huu Ndio Mwisho wa tukio zima la Mazishi ya Ndugu yetu, Mwanaharakati, Mpiganaji Daudi Mwangosi aliyekuwa Mwandishi wa Chanel 10.

TONE MULTIMEDIA COMPANY LIMITED AMBAO NI WAMILIKI WA MTANDAO HUU WA MBEYA YETU, TUNAWAPA POLE SANA NDUGU JAMAA NA MARAFIKI WALIOPATWA NA MSIBA MKUBWA, TUKIWA WANAHABARI PIA TUMESIKITIKA NA TUNASIKITIKA SANA KUTOKANA NA MSIBA HUU. MUNGU AILAZE MAHALI PEMA PEPONI ROHO YA MAREHEMU.

Tukio zima Limeletwa kwenu na Tone media Live Group ambapo Mpiga picha Mkuu alikuwa ni Ndugu Joseph Mwaisango  na Iliye rusha Tukio zima kuanzia mwanzo mpaka mwisho toka pande za studio ni Fredy Tony Njeje.

PICHA NA MBEYA YETU BLOG
na mhariri mkuu wa blog hii kwa kushirikiana na blog nyingine  naungana na waandishi ,familia pamoja na watanzania wote kutoa pole na mungu ailaze roho ya mwandishi mwenzetu ndugu yetu DAUDI MWANGOSI tangulia kaka nasi tutafuata haki haiko duniani ila haki ipo mbinguni pumzika kaka pumzika kwa amani .

No comments:

Post a Comment