Tuesday, November 6, 2012

G fayafaya na PaR Paa



Round hii tena na tena G fayafaya na PaR Paa kwa support kubwa ya Deejay Eleven na dude lao jipya kabisa wakiwakilisha The Bignation Ilboru 4 life!pini linakwenda kwa jina "ngaleloo" ikiwa ni chuga raggaton style.download hapa kwa hisani ya noizmekah studios arusha.Keep supporting Tanzania.

No comments:

Post a Comment