Thursday, August 1, 2013

Bondia Omar Kimweri wa Tanzania alivyomtesa Mthailand kwa KO


Bondia Mtanzania, Omari Kimweri anayefanya shughuli zake nchini Australia (kulia), akinyooshwa mkono juu kuashiria ushindi wake baada ya kumtwanga  Ekkalak Saenchan  wa Thailand kwa KO ya raundi ya kwanza.  (Picha zote kwa hisani ya Super D, Mnyamwezi)

Bondia Mtanzania Omari Kimweri,  anayefanya shughuli zake nchini Australia (kulia), akimsukumia makonde mazito mfululizi bondia Ekkalak Saenchan  wa Thailand na kufanikiwa kumtwanga kwa kwa KO ya raundi ya kwanza mpinzani wake huyo, mwishoni mwa wiki iliyopita.

Bondia Mtanzania Omari Kimweri  anayefanya shughuli zake nchini Australia akimsikilizia mpinzani wake, Ekkalak Saenchan  wa Thailand kwa KO baada ya kumtwanga ngumi nzito na kuhesabiwa wakati wa mpambano wake huo, hata hivyo mpinzani wake hakuweza kuendelea na kufanikiwa kupata ushindi wa KO ya raundi ya kwanza.

No comments:

Post a Comment