Mkuu wa Wilaya Babati Khalid Mandia kulia,akiwa na wataalamu wa lishe toka USAID Tuboreshe chakula,wakichanganya virutubishi kwenye uji wa mtoto uliotayarishwa tayari kwa watoto wadogo kunywa.Umasishaji wa lishe bora umefanyika leo wilaya ya babati vijijini.
Mkuu wa Wilaya ya Babati Khalid Mandia,akimkabidhi mama mwenye mtoto chini ya miaka mitano,unga ulioongezwa virutubishi,katika uhamasishaji wa matumizi ya virutubishi unaoendeshwa na mradi wa USAID Tuboreshe chakula Babati vijini leo.
Mkuu wa Wilaya ya Babati, Bwana Khalid Mandia ,akimsikiliza kwa makini mtaalamu wa Lishe bi Sarah luzangi ,Kutoka USAID Tuboreshe Chakula katika kampeni za uhamasishaji matumizi ya virutubishi vijjini leo.
Mkurugenzi Halmashauri ya mji Babati mjini ,Bwana Omari Mkombelo akisalimiana na timu ya waendesha kampezi za matumizi ya chakula kilichoongezwa virutubishi kwa watoto umri wa miezi 6-miaka5.kulia ni Bi Leah kutoka USAID tuboreshe chakula.
No comments:
Post a Comment