Friday, May 4, 2012

BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI MEI 2012 HILI HAPA



Samweli Sitta anaendelea naEAC

Nahodha anaenda Ulinzi

Magufuli anaendelea ujenzi

Mwinyi anaenda afya na ustawi wa jamii

Kawambwa elimu na mafunzi ya ufundi

Sophia simba anaendelea  na Jamii

Chikawe anarudi katiba na sheria

Nchimbi anakuwa mambo ya ndani

Matayo anaendelea

Mbawala anaendeea

Tibaijuka anaendelea nyumba  na makazi

Chiza kilimo, chakula na ushirika

Maghembe anakuwa waziri wa maji

Mwakyembe anakuwa uchukuzi

Mkandara anakuwa waziri wa habari

Kagasheki maliasili na utalii

Kigoda viwanda

Mgimwa, anakuwa waziri wa fedha 

Mak mwandosya hana wizara maalumu

No comments:

Post a Comment