Nd.Mbaraka Juma Ali Pichani ambaye ni mkaazi wa Zanzibar anatafutwa na
kituo cha Polisi Kisima majongoo, kwa tuhuma za wizi alioofanya tarehe
20 Mei 2012 siku ya Jumapili.
Wizi huo ulifanyika kwenye afisi za Zanzibar Press Plub na kuiba mali za
klabu pamoja na rafiki yake ambaye ni IS-HAKA OMAR RWEYEMAMU.
kwa
mujibu wa Jeshi la Polisi mali hizo zinakadiriwa kuwa na thamani ya TSH.11,600,000 uliofanywa na
kijana anayeitwa Mbaraka Juma Ali
mkaazi wa Zanzibar,wizi huo ulifanyika katika mtaa wa Mchenzani block no.7 ngazi 4 ya ghorofa 3, vitu vilivyoibiwa ni:-
1.Radio aina ya panasonic
2.kompyuta aina laptop
3.sanduku la nguo
4.passport ya kusafiria
5.dvd player.
6.cheti cha kuzaliwa
2.kompyuta aina laptop
3.sanduku la nguo
4.passport ya kusafiria
5.dvd player.
6.cheti cha kuzaliwa
yoyote mwenye kujuwa taarifa za kijana huyu awasiliane na Mratbu wa
Zanzibar Press Club, simu 0754 597169 au barua peperushi
alanquterman@hotmail.com au zanpress@hotmail.com
kuwa polisi jamii kwa kutoa habari za uhalifu kumbuka wahalifu ni ndugu zetu tuwafichue ili kujenga taifa lenye watu wema na wanao pata pato kihalali usikubali kuteseka kufanya kazi wakati jirani yako anastarehe kwa pesa za wizi fichua wezi kwa maendeleo na dhamani ya jasho lako
No comments:
Post a Comment