Thursday, June 28, 2012

JIJI LA ARUSHA LATISHA KWA UCHAFU



.Mama huyu akiwa mapanga bidhaa zake chini hali inayohatarisha mazingira ya walji kuwa hatarini na halmashauri ya jiji la Arusha kulifumbia macho kama alivyokutwa na kamera yetu jijini Arusha jana malalamiko ya jiji kuendelea kuwa chafu yamekuwa yakipuuziwa na viongozi wa halmashauri hiyo kwa visingizio vya kuwa bize na ripoti ya mkaguzi wa serekali CAG bna kulitelekeza jiji katika hali hii
.Hili ni godoro kwa mtu huyu ambaye hakujulikana jina lake akiwa amelala katikati ya rundo la taka katika jalala la soko kuu la jijini Arusha kama alivyokutwa na kamera yetu wachuuzi katika soko hilo na wananchi wapitao pembeni ya jalala hilo wameilalamikia kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa kwa kufumbia macho vitendo vya uhalifu vinavyofanywa na vijana wakao na kupekua taka kwenye dampo hilo kila uchwao na kutochukukiwa hatua yeyote.
.sehemu ya wafanyabiashara almaarufu machinga wakiwa wamepanga bidhaa zao mbele ya maduka kama iliovyokuwa mtaa wa kongo jijini Dar na halmashauri kulifumbia macho kwa visingizio vya kuwaogopa na kushindwa kutekeleza sheria hali inayofanya msongamano katika barabara kadhaa za jiji hili na mbaraza ya maduka wafanyabiashara ya maduka wameilalamikia halmashauri hiyo kwa kukaa kimya bila ya majibu yakinifu.


 mitaro aibu tupu

 Mama ntilie wakiwa wamepanga vyakula vyo sehemu hatarishi bila ya kuogopa magonjwa hatarishi wala afya za walaji na halmashauri ikiwa inaona mama ntilie hao wanadai kuwa wamekuwa wakiilipa halmashauri hiyo fedha za kuuzia eneo hilo zinazochukuliwa na kampuni inayokusanya fedha za ushuru wa geti na magari yanayoingia na kutoka katika stand kuu je halmashauri ipo na inajua hili
Uchafu umekidhiri kwa kweli na ukiangalia ni jiji inaatisha

No comments:

Post a Comment