Saturday, June 15, 2013

JAMBAZI AKATWA MKONO KATIKA TUKIO LA UJAMBAZI WA KTUMIA BARUTI

kamishna wa polisi kanda maalum ya Dar es salaam Suleiman Kova akizungumza na waandishi wa habari.
kamishna wa polisi kanda maalum Suleiman Kova


JESHI LA POLIS KANDA MAALUM LINAWSHIKILIA MAJAMBAZI WAWILI HUKU MMOJA AKIWA AMEKAIKA MKONO WA KUSHOTO NA MKONO WA KULIA UKIWA KATIKA  HATARI YA KUKATWA MARA BAADA YA KULIPUKIWA NA MLIPUKO ULIDHANIWA KUWA BARATU KATIKA TUKIO LA UAJAMBAZI LILITOKEA JUZI USIKU  HUKO MBAGALA CHARAMBE

.


TUKIO HILO LA AINA YAKE LILITOKE USIKU WAKUAMKIA JANA HUKO KATIKA BAADA NDOGO ( GROSARI)  YA MAMA MMOJA ALIEFAHAMIKA KWA JINA LA AGASIRA SWAI HUKO MBAGALA CHARAMBE AMABPO MAJAMBAZIHAO WAPATAO WATANO WALIFIKA KATIKA BAA HIYO NA KUSABABISHA MLIPUKO AMBAO ULIDHANIWA KUWA NI BARUTI .

BAADA YA MLIPUKO HUO WATU WALIKIMBIA ENEO HILI NA MAJAMBAZI HAO WALIFANIKIWA KUPORA PESA TASLMU 185000/=  SIMU  PAMOJA NA BIA CHUPA ZIPATAZO TANO KISHA WALIKIMBIA BILA KUJUA KUWA MWENZAO AMEDHURIKA NA MLIPUKO WA  BARUTI HIYO 

 MAJAMBAZI HAO WALIFANIKIWA KUTOROKA HUKU WAKIMUACHA MWENZAO ALIFAHAMIKA KWA JINA LA SAID ABDULI UMRI  MIAKA 25 NA DEREVA WA BODA BODA AKIGULIA KWA MACHUNGU YA KUKATIKA MKONO WA KUSHOTO HUKU MWINGINE UKIWA HOI KWA MAJEREHA
PAMOJA HAYO JAMABZI SALUM MATOPE MIAKA 32 NAE ALIKAMATWA NA JESHI LA POLIS KATIKA TUKIO HILO AMBALO DREVA BODA BODA  ALIJITETE KWA KUSEMA KUWA ALIPEWA KITU ASICHOKIJUA NA BAADE KUMLIPUKIA ,LAKINI KATIKA UCHUNGUZI WA POLISI UNAONYESHA KUWA NAE NI MMOJA WA MAJAMBAZI

AKIONGEA NA WAANDISHI WA HABARI  KAMISHNA WA POLIS KANDA MAALUM SULEIMAN KOVA AMESEMA JESHI HILO PIA LINAWASHIKILIA WATUHUMIWA MBALI MBALI  KWA MAKOSA  PIA IMEDHIBITISHA KUMSHILIA MOSHA OMARY AMBAYE ALIKAMATWA NA PIKI PIKI AINA HONDA BAJA NYEKUNDU YENYE NAMBA  ZA USAJII T 807  AQD  KWA TUHUMA ZA UNYANGANYI WA KUTUMIA SILAHA.
WATUHUMIWA WENGINE WALIOKAMATWA NA JESH HILO LA POLISI KANDA MAALUM NI JOHN DEOFIN NA JUMA ATHUMANI  WAOTE WAKIWA WAKAZI WA  KONGOWE KWA  KWA TUHUMA ZA  KUSHIRIKI  KATIKA MATUKIO  MBALI MBALI YA UHALIFU.

No comments:

Post a Comment