Tuesday, June 12, 2012

MULIKA HAKI ZA WATOTO

picha hii inaeleza wazi ukatili dhidi ya watoto
jumatano 02:20 USIKU / 13/06/201

Imenilazimu kuanzisha kampeni ya kuwasaidi watoto baada ya kuona na kusikia vitendo vya ukatili dhidi ya watoto naomba uungane nami katika kampeni hii ya kutetea haki za watoto

Kufuatia kampeni kutakuwa na kundi la wanaharakati ambalo Kundi hili ni kundi huru halina ubaguzi wa rangi kabila wala dini

Nakuomba uwe balozi wa watoto popote pale ulipo kumbuka bila wewe hakuna mtoto na bila mtoto hakuna future ya kesho .

Nakuomba ushirikiano wako sana kumbuka kampeni hii ni kusaidia watoto tu na kuhakikisha haki zao zinapatikana kutokana na manyanyaso ya kuozeshwa ,kupigwa kupita kiasi,kubakwa,kulawitiwa,kuchomwa moto .

Kama binadamu mwenzangu nakuomba uwe mwanaharakati katika kutetea watoto kwa kutoa taarifa za kuweza kuwa saidia .

Kwa mawasiliano ya simu 0755 656 445 /0717 830 580 ungana nami katika kusaidia watoto

No comments:

Post a Comment