Spika
Mpya wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) Margaret Banbtonbg Zziwa |
Spika
Mpya wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) Margaret Banbtonbg Zziwa (49)
kutoka Uganda akitoka ndani ya Ukumbi wa Bunge hilo uliopo katika Ukumbi
wa Mikutano wa AICC jijini Arusha leo. Zziwa ambaye ni Mchumi kitaaluma
amemshinda mwanamke mwingine kutoka Uganda, Mwanasheria Dora Byamukama
(40) baada ya uchaguzi huo kurudiwa mara mbili baada ya kura za awali
kutokufikia idadi asiliamia 30 inayotakiwa ya wapiga kura wote.
No comments:
Post a Comment