Monday, July 16, 2012

break news ; Hostel Moro Sec zawaka Moto

[4.JPG]Habari za hivi punde kutoka Mjini Morogoro zinapasha kuwa Hostel za wanafunzi wa Shule ya Sekondari Morogoro zinawaka moto. 


Blogu hii kama kawaida yake itakupasha zaidi juu ya tukio hilo baada ya kupata taarifa kamili.
picha kwa hisani ya father kidevu blog.

No comments:

Post a Comment