Wednesday, August 22, 2012

msanii wa leo


leo katika segemeny yetu ya msanii wa leo nawaletea msanii  kutuko pande za kaskazini ambaye kwa sasa anafanya kazi zake katika mkoa wa mbeya  naye anaite DI ACTION na leo tutaangalia wimbo wake mpya huu




Artist;  di.action  ft.  Fideloso
Song;      niokote kitaani (niokote mtaani)
Prod;      bizzo one
Studio;   jamvibe records.

Chorous;
Niokote kitaani nikihastle everyday
Nakesha tu kitaani nikizisaka chapaa hohoooo
Niokote kitaani nikihustle everyday
Nakesha tu kitaani nikizisaka chapaa  hohoooo.

Verse 1.
Maisha umenitupa class daily umenichapa test
Cheki umenijaza hasira na kasi ya kusaka keshi
Niko punctual on time magego sioneshi
Na wala usitembee mtupu ili uonekane mcheshi
Cheki napanga hesabu na formula ya kuikokotoa
Huku imani imejaa siku moko ntakutoboa
Maisha umetenga vijana,masela umewatupa
Asipokuwa shabiki wa ngono huyo mwite mteja wa pusha
Maisha mbona unadis,maisha   unaleta uchizi
Maisha we sio mchizi,unachizisha viumbe wanatembea na uchizi
Wakike wanauza kuch,wakiume wapo icu cheki sheria wanavyoimada
Maisha umesababisha sister atupe yule mtoto
Dingi nae kasepa ashafeli kasi ya upepo
Mpende basi hata mjane anayehustle daily na mtoto
Ama wewe ndo snitch ndo witch unaeleta msoto
Watu wafe kwa njaa vikongwe mpaka watoto
Ila mbishi nakaza ntasaka popote ulipo braa.

 chorous;
Niokote kitaani nikihastle everyday
Nakesha tu kitaani nikizisaka chapaa hohoooo
Niokote kitaani nikihustle everyday
Nakesha tu kitaani nikizisaka chapaa  hohoooo

Verse 2.
Maisha unapenda nega sio postive tena
Unapenda kizaliwacho  sio kizalishacho
Cheki unavyodaka wengi kwa njia wrong ya mkato
Watu wanatenda maovu zaidi ya aliyofanya pilato
 yote sababu yako wakupate bila msoto
Life is a tough game kuplay weka umakini
Unapoplay be real ndo utazika umasikini
Mpinzani akitupa mbao unadaka kisha unawini
Maisha we ni celeb  tena unapenda skendo yani daily tuzungumze
Ama we ndo bandidu kauzu mtafuna wembe
Unapenda kujificha ilimradi we tu utafutwe
Ila mwana nakaza hadi mwisho kieleweke
Maisha whats your definition,cheki umenichapa question
Ama unataka corruption ili kuipata attention
Japo swali litabaki kivipi mkopo unakata na deni bado sjalipa
Kuitwa baba sio kazi,kazi kuijenga heshema ya mwana kutamka baba kabla muda kukuacha right.

Chorous;
Niokote kitaani nikihustle everyday
Nakesha tu kitaani nikizisaka chapaa hohoooo
Niokote kitaani nikihustle everyday
Nakesha tu kitaani nikizisaka chapaa  hohoooo

Autro
Yeah this is how we talk about the hood meen
S di.action,my men bizzo one yeah fideloso we apriciate meen

Niokote kitaani nikihustle everyday
Nakesha zangu mtaani nikizimeki chapaa

Yeee eee

We taking over.
……………………………….!
Contacts kwa maoni au mtazamo ; 0764908211 or 0719027840.
……………………………………………….!

No comments:

Post a Comment