Sunday, November 4, 2012

HII ndio track walioimba wasanii wa Arusha japo hawakuhishwa katika uzinduzi huo


hii ndio nyimbo walioimba wasanii wa Arusha kusifia kilele cha kutangazwa ARUSHA kuwa jiji Ingawa kuna malalamiko mengi kuwa serikali haikuonyesha kuwajali wasanii wa Arusha katika uzinduzi wa ARUSHA kuwa jiji lakini bado kuna baadhi ya wasanii wa Arusha kama Jembe la Arusha (boo nako) bam x alamando,desta one,nigga one,dogo tundu na wengine kibao


No comments:

Post a Comment