Sunday, November 4, 2012

TRAFIKI WAMPA KICHAPO MWANAJESHI MJINI MOSHI


asakari wa barabarini wakiwa wamemshilikila askari  jeshi 


MARA kwa mara jamii imekuwa ikisikia Wanajeshi wakiwapiga Askari wa Usalama barabarani hasa Jijini Dar es Salaam Trafiki wa Moshi  huenda wamechoshwa na unyanyasaji huo kwa walinzi hawa wa amani na wasimamizi wa sheria ambapo huko Mkoani Kilimanjaro, Askari wa kikosi cha usalama barabarani mjini Moshi ambao majina yao hayakufahamika kwa haraka wakimpiga askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ) katika kituo kikuu cha mabasi mjini moshi hivi karibuni,baada ya kutokea kutoelewana,mwanajeshi huyo alikuwa akimtetea dereva wa Hiace aliyeshikwa na trafiki hao.//Picha na Nakajumo James.

No comments:

Post a Comment