Tuesday, November 6, 2012

Urusi yapata waziri mpya wa ulinzi


 Shoigu ambaye anatoka katika jimbo la Siberia karibu na Mongolia, ni mmoja wa wawakilishi wachache wa makabila madogo ya Urusi katika nyadhifa muhimu za uongozi. Katika majukumu yake mapya atakuwa na kazi ya kusimamia mageuzi makubwa yanayofanywa katika jeshi la Urusi.

No comments:

Post a Comment