Sunday, December 2, 2012

BENDI YA POLISI KENYA YAPIGA WIMBO PII PII WA MALRAW



Mwimbaji Malraw wa Tanzania ameweza kufanya wimbo wake utambuliwe hata nje ya mipaka ya nchi yake baada ya \bendi ya Polisi Kenya kupiga wimbo wake wa Pii pii katika hafla mbalimbali. Hapa ni wakati wa kikao cha 14 cha viongozi wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kilichofanyika Novemba 29, 2012 katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi 

No comments:

Post a Comment