Monday, December 24, 2012

SHUKRANI ZA CHIKU K........



Chiku k


Kupitia account yake ya facebook hiki ndicho alichokiandika Mwanadada mwenye swaggah inayolipa kwenye Mziki wa Bongo kwa sasa chiku K balaaa akiwa chini ya Lebel yake ya ARM Entertainment:-

"MWAKA UNAISHA,NASHUKURU NMEFANYA MACHACHE KATI YA YALE NILIOKUSUDIA,NAMSHUKURU MUNGU KWA KUNIJAALIA KUFANIKISHA,NAMSHUKURU BRO Arm Mdete NA ARM ENTERTAINMENT KWA UJUMLA,MADJ WOTE MNAOPIGA WIMBO WANGU WA 'MZUKA',RADIO ZOTE TZ NA EAST AFRICA,TELEVISHENI ZOTE,WADAU WOTE WA MUZIKI,FAMILIA YANGU,WASHKAJI WALIO NA MIMI HADI LEO NA HATA WALE WALIONIBWAGA KIPINDI KILE BILA NINYI NISINGEKAZA MOYO,MTU WANGU WA NGUVU 'Gigie' WEWE UKO NAMI SANA 2, NA MASHABIKI WANGU NASHUKURU SANA....
MUNGU MMOJA!!!!
Kila la kheri kwa mwaka 2013 Chiku K na Shukrani pia kwa kuona mchango wetu katika kazi yako pia nakuomba uwakumbuke sana wasanii wachanga amabao wanahitaji mchango wako usisahau kwenda MBWINDE

           heshima kwako ...https://haazu.blogspot.com

No comments:

Post a Comment