HIVI
NDIVYO KIWANDA KILIVYO KUWA KIKIWAKA MOTO.
MOTO ULIO
CHUKUA DAKIKA AROBAINI NA TANO UMETEKETEZA KIWANDA CHA CHEMICOTEX KILICHOPO
MBEZI BEACH, HATA HIVYO JUHUDI ZA KUZIMA MOTO ZILIFANYIKA MAPEMA AMBAPO MAGARI
ZA ZIMA MOTO ZAIDI YA MANNE YALIFIKA ENEO HILO NA KUZIMA MOTO HUO.
MPAKA
SASA HAKIJAJULIKANA NI HASARA KIASI GANI IMETOKEA WALA HAKUNA CHANZO KILICHO
TAJWA CHA MOTO HUO.
ZAIDI
FUATILIA HAPA HAPA KATIKA BLOG YA
No comments:
Post a Comment