Thursday, January 17, 2013

PICHA MBALIMBALI ZA WAOMBOLEZAJI NYUMBANI KWA KINA MAREHEMU DJ BUPE

Bro aliyeshika kitabu anaitwa Ally na Ndiye aliyekuwa Mchumba wake Marehemu Queen Ambakisye (DJ Bupe )alimpenda sana na kamuhangaikia hadi mwisho wa Maisha yake akijadili jambo na dada yake(Pole sana Broo Ally na Mungu akupe nguvu Inshaalah)

Mercy Asey na Olan OJ wa Machizi flani






Producer sam Timber. G-Nako. Masebo na DJ Haazu

Producer sam Timber. G-Nako. Masebo na DJ Haazu



Gentriez, sam timber, G-Nako na masebo


sam Timber na Erick Lupiana


Mercy Asey

Sam Timber na Erick Lupiana



Gentriez akisalimiana na Suleman Umande

Jophrey julius akiwa na wadau wa MJ Radio waliokuwepo katika Maombolezo




Kushoto ni Mdogo wa Marehemu anaitwa Jofrey akiwa na Jesse








Mercy Asey, Vay Lema, Timber, Masebo na G-Nako

Katikati ni Safina Sheshe na Kulia Bilhuda Msangi wa MJ FM wakiwa na Rafiki wao wa karibu


Huyu ni Mmoja kati ya wasikilizaji wa karibu wa Marehemu kiukwelui machozi yalimtoka Sana na ndo maana unamuona hivyo
TUTAZIDI KUWAJUZA KILE KINACHOENDELEA IKIWA NI PAMOJA NA MIPANGO YA MAZISHI YA MFANYAKAZI MWENZETU QUEEN AMBAKISYE (DJ BUPE)
                                           R I P   BUPE 


habari na picha kwa hisan ya http://haazu.blogspot.com

No comments:

Post a Comment