kumbuka hii si ya kukosa kabisa ni ndani ya BARAFU zamani ikitambulika kama masai camp ndani ya jiji la arusha kokoye emson masangwa na watu wake watawasha moto siku hiyo bila kusahu musikimurua kutoka kwa live banda na pia kwa mastaa wote wa ndani ya jiji la arusha dont miss it.
No comments:
Post a Comment