Ajali
Hii iliyo yahusisha magari Madogo mawili Toyota Mark II, namba za Usajili T203 AFR
iliyokuwa ikiendesha na Mwanamke mmoja aliyetambulika kwa jina moja la Halima
ambaye ni Mfanyakazi wa Pricewater cuper ya Masaki jijini Dar es Salaam na Toyota
Mark II Grand T902 CHF iliyokuwa ikiendeshwa na Nicholas Fernandes mkazi wa
Masaki jijini Dar es Salaam.
Kwa Mujibu wa mashuhuda wa ajali hiyo iliyo tokea katika makutano ya barabara za
Tule, Kenyata na Kaunda Masaki jijini Dar es Salaam, wanasema kuwa mama huyo
aliumia kichwani ambako alipata mipasuko kadhaa na kukimbizwa Hopitali kwa
matibabu.
Gari hilo Mark II T902 CHF likionekana kwa nyuma baada ya ajali hiyo.
Mkazi huyu wa Dar es Salaam akipiga picha gari hilo baada ya kuharibika vibaya.
Baadhi ya watu wakiangalia gari T203 AFR lililokua likiendeshwa na Halima ambalo liliharibiwa vibaya ubavuni upande wa kushoto.
Askari wa Usalama Barabarani akikagua ajali hiyo.
Dereva wa gari T902CHF Nicholas Fernandes akitoa baadhi ya vitu vyake katika gari lake.
Gari likivutwa
habari kwa hisani father kidevu blog .
No comments:
Post a Comment