Friday, May 3, 2013

KENEH AJA NA WIMBO UITWAO JUA KALI SIKILIZA HAPA KWA MARA YA KWANZA

Keneh%500.png
Msanii wa Reggae/Afropop Keneh, mkazi wa Arusha aja na Juakali,Ngoma ya mahadhi ya Sweet Reggae inayozungumzia Ungumu wa maisha ya ujana na umuhimu wa kuzingatia ushauri wa waliotuzidi umri na upeo,Ni ngoma yenye verse mbili na breakdown zikiambatana na chorus tamu ikiwa ni kazi ya defxtro toka Noizmekah Studios Arusha.

No comments:

Post a Comment