Sunday, May 12, 2013

TUNAPOUGUA na kuhitaji Damu hospital je huwa Tunauliza hii Damu ni ya Mkristo au Mwislamu?

 Jibu ni hapana.

Basi ni mpango wa MUNGU,Kutuweka pamoja Tusibaguane,
Maana hakuna hewa ya Mwislam na ya Mkristo?
 Basi Tupendane,
Na Mwisho wa cku wote Tunachimbiwa shimoni kwa Udongo.

Hakuna Mkristo wala Mwislam anayejua atakufa lini ni mpango wa MUNGU. 
Mwislam na Mkristo Usikubali kudanganywa Amani yetu ikatoweka kwa maslahi ya wa2 wachache. 
Tupendane Tukiache kizazi chetu kikiwa salama kama tulivyoachwa na MABABU zetu tukiwa salama.

share ujumbe huu kwa Marafiki wote bila kujali ni Dini gani. MUNGU Akubariki. amina

hii ni status ya fb  imeandikwa na sister nwebye picha hiyo hapo juu
heshima kwako sister wangu wa ukweli



No comments:

Post a Comment