Tuesday, June 11, 2013

BODA BODA YANGONGANA NA SCANIA NA DEREVA KUPOTEZA MAISHA PAPO HAPO

DEREVA WA BODA BODA AMEPTEZA MAISHA PAPO HAPO JE HELMENT  ALIKUWA NAYO AU LA HILO ANAJUA MAREHMU  WEWE UNAYSEMO HAPA  JIFUNZE USIPANDE PIKI PIKI BILA KOFIA NGUMU  TAFADHALI  TII SHERIA BILA SHURUTI
HAKIKA NI AJLI MBAYA ILIYOCHUKUA MAISHA YA DEREVA BODA BODA

DEREVA WA BODA BODA AMEPTEZA MAISHA PAPO HAPO JE HELMENT  ALIKUWA NAYO AU LA HILO ANAJUA MAREHMU  WEWE UNAYSEMO HAPA  JIFUNZE USIPANDE PIKI PIKI BILA KOFIA NGUMU  TAFADHALI  TII SHERIA BILA SHURUTI
Ajali imetoke Mtaa wa chuma road karibu na bodi ya nafaka! Na Simba plastiki
 Wenye pikipiki walikua wanatoka Veta kunyoosha mbozi roar na mwenye gari anatokea kwa sokota, mwenye gari akapinda kona ya Simba Plastiki na kuwazoa wenye pikipiki,na asilimia mia dereva kafanya dharau saaana,maana alipinda gari ikiwa kwenye speed kubwa sana

Habari na picha kwa hisani ya http://1.bp.blogspot.com

No comments:

Post a Comment