Thursday, June 13, 2013

BREAK NEWS MSANII WA HIP HOP LANGA AMEFARIKI DUNIA

Habari za kuaminika kutoka kwa ndugu wa karibu wa msani wa hip hop langa zinasema langa amefariki dunia  katika hospitali ya muhimbili alipokuwa anatibiwa


 MUNGU AMETOA NA MUNGU AMETWAA  JINA LAKE LIHIMIDIWE


kwa habari zaidi  endelea kufuatilia  ukurusa huu wa G SAMBWETI BLOG

No comments:

Post a Comment