Mkurugenzi wa Usalama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Wilfred Lwakatare akizungumza na wanahabari baada ya kutoka kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam baada ya kupewa dhamana jana. Kulia ni mmoja wa mawakili wake, Profesa Abdallah Safari.
Lwakatare akizungumza jambo kabla ya kuondoka
Lwakatare akilakiwa na wafuasi na wanachama wa chma hicho.
HABARI PICHA KWA HISAN YA FK BLOG
No comments:
Post a Comment