Sunday, June 30, 2013

LINA ALLAN ANYAKUA REDD'S MISS KANDA YA NYANDA ZA JUU KUSINI

Washiriki wa Redd's Miss Kanda ya Nyanda za Juu Kusini wakiserebuka kabla ya kuanza kwa shindano la kumpata mwakilishi wa Kanda katika shindano hilo usiku wa kuamkia leo. (Picha zote na Venace Matinya)
Jaji Mkuu wa shindano hilo, Hidan Ricco akitaja washindi wa Shindano la Redds Miss Nyanda za Juu Kusini.
Mashabiki wakifuatilia kwa makini Shindano la kumpata Mrembo wa kuiwakilisha Kanda ya Nyanda za Juu Kusini.

Washindi watatu wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kumpata mshindi.
 
Aliyekuwa akishikilia taji la Miss Redd's Kanda ya Nyanda za Juu Kusini Naomi Jones kutoka Iringa akimvalisha taji hilo Mshindi mpya Lina Allan Kutoka Rukwa akiwa na washindi wenzake mara baada ya kutangazwa kuibuka kidedea katika Shindano lililofanyika katika ukumbi wa Mtenda SunSet Soweto, jijini Mbeya, usku wa kuamkia leo.
Aliyekuwa akishikilia taji la Miss Redd's Kanda ya Nyanda za Juu Kusini Naomi Jones akiwa katika picha ya pamoja na Washindi watano wa Shindano la kumpata mwakilishi wa Kanda.
Mshindi wa Kwanza katika shindano la kumpata Miss Redd's Kanda ya Nyanda za juu kusini Lina Allan Kutoka Rukwa akiwa na washindi wenzake mara baada ya kutangazwa kuibuka kidedea katika Shindano lililofanyika katika ukumbi wa Mtenda SunSet Soweto Jijini Mbeya, usikuwa wa kuamkia leo.
Mshindi wa Kwanza katika shindano la kumpata Miss Redds Kanda ya Nyanda za juu kusini Lina Allan Kutoka Rukwa akiwa na washindi wenzake mara baada ya kutangazwa kuibuka kidedea katika Shindano lililofanyika katika ukumbi wa Mtenda SunSet Soweto, jijini Mbeya, usikuwa wa kuamkia leo.

No comments:

Post a Comment