Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Absalom Kibanda akiwapungia wanahabari wenzie mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam leo, akitokea Afrika Kusini kufanyiwa matibabu ya jicho alilodhuriwa na watu wasiojulikana waliomvamia alipokuwa akiwasili usiku wa Machi 6, mwaka huu, nyumbani kwake Mbezi Beach, Dar es Salaam. Picha ndogo akilia baada ya kuona umati wa wanahabari hao waliojitokeza kumlaki. (PICHA NA KHAMIS MUSSA)
Kibanda akilakiwa na Kiamu Mwenyekiti wa TEF, Makunga
Kibanda akilakiwa na bosi wake Hussen Bashe
Kibanda akihojiwa na wanahabari baada ya kuwasili
Kibanda akizungumza na wanahabari
Kibanda akiondoka kwenda kupanda gari huku akisindikizwa na wahariri wenzie
No comments:
Post a Comment