Friday, July 5, 2013

Benki ya NMB yazindua ripoti za Stakabadhi ghalani na utafiti wa kilimo cha miwa


Mkuu wa Kitengo cha Biashara ya Kilimo wa Benki ya NMB, Robert Pascal (kuli), akizungumza na waandishi wa habari kwenye banda la benki hiyo, kwenye maonesho ya Biashara ya Kimataifa, Viwanja vya Sabasaba, Dar es Salaam leo, wakati wa uzinduzi wa ripoti ya utafiti wa Stakabadhi ghalani iliyotafitiwa na Mtafiti mchambuzi wa masuala ya kilimo cha biashara, Carol Nyangaro (kushoto) na ya utafiti wa miwa, iliyotafitiwa na Mchambuzi Mwandamizi wa Afrika kutoka Rabobank International nchini, Sierk Plaat. (Picha zote na Kassim Mbarouk-bayana.blogspot.com)
Mkuu wa Kitengo cha Biashara ya Kilimo wa Benki ya NMB, Robert Pascal (kuli), akiionesha kwa waandishi wa habari, ripoti ya utafiti wa Stakabadhi ghalani iliyotafitiwa na Mtafiti mchambuzi wa masuala ya kilimo cha biashara, Carol Nyangaro (kushoto) na ya utafiti wa miwa, iliyotafitiwa na Mchambuzi Mwandamizi wa Afrika kutoka Rabobank International nchini, Sierk Plaat.
Mtafiti mchambuzi wa masuala ya kilimo cha biashara, Carol Nyangaro (kushoto), akizungumza kuhusu utafiti wake wa wa Stakabadhi ghalani, wakati wa uzinduzi wa ripoti hiyo pamoja na miwa iliyotafitiwa na Mchambuzi Mwandamizi wa Afrika kutoka Rabobank International nchini, Sierk Plaat (kulia). Katikati ni Mkuu wa Kitengo cha Biashara ya Kilimo wa Benki ya NMB, Robert Pascal.
Mtafiti mchambuzi wa masuala ya kilimo cha biashara, Carol Nyangaro (kushoto), akifafanua jambo kwa waandishi wa habari kuhusu utafiti wake wa wa Stakabadhi ghalani, wakati wa uzinduzi wa ripoti hiyo pamoja na miwa iliyotafitiwa na Mchambuzi Mwandamizi wa Afrika kutoka Rabobank International nchini, Sierk Plaat (kulia). Katikati ni Mkuu wa Kitengo cha Biashara ya Kilimo wa Benki ya NMB, Robert Pascal.
Waandishi wa habari, wakifuatilia uzinduzi huo, wakati Mkuu wa Kitengo cha Biashara ya Kilimo wa Benki ya NMB, Robert Pascal  alipokuwa akizungumza nao, Dar es Salaam leo, kwenye maonesho ya biashara ya Kimataifa, Viwanja vya Mwalimu Nyerere, Kilwa Road. 
Mchambuzi Mwandamizi wa Afrika kutoka Rabobank International nchini, Sierk Plaat, akizungumza kuhusu utafiti wake huo, wa kilimo cha miwa. Kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Biashara ya Kilimo wa Benki ya NMB, Robert Pascal.
Mchambuzi Mwandamizi wa Afrika kutoka Rabobank International nchini, Sierk Plaat, akizungumza kuhusu utafiti wake huo, wa kilimo cha miwa. Katikati ni Mkuu wa Kitengo cha Biashara ya Kilimo wa Benki ya NMB, Robert Pascal na kushoto ni mtafiti wa ripoti ya utafiti wa Stakabadhi ghalani, Carol Nyangaro.
Mkuu wa Kitengo cha Biashara ya Kilimo wa Benki ya NMB, Robert Pascal (kuli), akizungumza na waandishi wa habari kwenye banda la benki hiyo, kwenye maonesho ya Biashara ya Kimataifa, Viwanja vya Sabasaba, Dar es Salaam, wakati wa uzinduzi wa ripoti ya utafiti wa Stakabadhi ghalani iliyotafitiwa na Mtafiti mchambuzi wa masuala ya kilimo cha biashara, Carol Nyangaro (kushoto) na ya utafiti wa miwa, iliyotafitiwa na Mchambuzi Mwandamizi wa Afrika kutoka Rabobank International nchini, Sierk Plaat (kulia),  wakati wa uzinduzi wa ripoti hizo, jijini jana.
Mkuu wa Kitengo cha Biashara ya Kilimo wa Benki ya NMB, Robert Pascal (katikati), kwa pamoja wakionesha ripoti ya utafiti wa Stakabadhi ghalani iliyotafitiwa na Mtafiti mchambuzi wa masuala ya kilimo cha biashara, Carol Nyangaro (kushoto) na ya utafiti wa miwa, iliyotafitiwa na Mchambuzi Mwandamizi wa Afrika kutoka Rabobank International nchini, Sierk Plaat,  wakati wa uzinduzi wa ripoti hizo, Dar es Salaam leo.

No comments:

Post a Comment