Sunday, July 14, 2013

Taasisi ya Starkeyya Marekani yaanza kuwapatia watu wenye ulemavu wa 2000 masikio vifaa vya kuwasaidia kusikia Vizuri


Mwanzilishi wa Taasisi ya  kuwasaidia watu wenye usikivu hafifu na wasio sikia ya Starkey, William Austin, akimfanyia uchunguzi wa usikivu Kijana Lilian Vincent wa SHULE ya  Viziwi Buguruni ya, Dar es Salaam Kabla ya kufunga vifaa vya kuongeza usikivu, Hoteli ya Serena, jijini Dar es Salaam (picha  zote na  Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Mwanzilishi wa Taasisi ya kuwasaidia watu wenye usikivu hafifu na wasio sikia ya tarkey, William Austin na  mwazilishi mwenzake, mkewe Tani Austin, wakimfanyia majaribio ya usikivu Kijana Lilian Vincent wa SHULE ya Viziwi Buguruni  , Dar es Salaam wakati wakimfunga kifaa cha kuongeza usikivu, Hoteli ya  Serena, jijini Dar es Salaam .
Mwanzilishi wa Taasisi ya kuwasaidia watu wenye usikivu hafifu na wasio sikia ya Starkey, William Austin na mwazilishi mwenza, mkewe Tani Austin, wakimfunga kifaa cha kuongeza usikivu Kijana Lilian Vincent wa SHULE ya Viziwi Buguruni   , Dar es Salaam Hoteli yaSerena, jijini .
Mwanzilishi wa Taasisi ya kuwasaidia watu wenye usikivu hafifu na wasio sikia ya  Starkey, William Austin akimfunga kifaa hicho Kijana Lilian Vincent wa SHULE ya iziwi Buguruni ya  Kushoto nai mwazilishi mwenza, mkewe Tani Austin.
Mwanzilishi wa Taasisi ya kuwasaidia watu wenye usikivu hafifu na wasio sikia ya tarkey, William Austin akimfunga kifaa hicho Kijana Lilian Vincent wa SHULE ya Viziwi Buguruni ya  Kushoto nai mwazilishi mwenza, mkewe Tani Austin.

Mwanzilishi wa Taasisiyai kuwasaidia watu wenye usikivu hafifu na wasio sikia ya  Starkey, William Austin akimvalisha Kijana Lilian Vincent wa SHULE ya Viziwi Buguruni na , medali baada ya  kufanikiwa kurudisha usikivu wake. Kushoto nai mwazilishi mwenza, mkewe Tani Austin.

Kijana akifanyiwa majaribio wakati akifungwa kifaa hicho cha usikivu.
Waanzilishi hao, wakimfanyia majaribio wakati wakimfunga kifaa hicho cha usikivu Kijana Huyu.
Wakimfunga kifaa hicho Mara baada ya kufanikiwa katika majaribio ya kifaa hicho cha usikivu.

 Baadhi ya Vijana wakisubiri kupatiwa huduma hiyo, Hoteli ya Serena ya, Dar es Salaam .



Kijana akisafisha masikio Kabla ya kufungwa kifaa cha kuongeza usikivu na kumwezesha asiyesikia kupata usikivu.
 Vijana wakijiorodhesha kupatiwa huduma hiyo hotelini hapo .
 Baadhi yaVijana wakiwa tayari baada ya kufungwa vifaa hivyo vya usikivu.


Mwanzilishi wa Taasisi ya kuwasaidia watu wenye usikivu hafifu na wasio sikia ya  Starkey, William Austin na mwazilishi mwenzake, mkewe Tani Austin, wakiwa katika picha ya PAMOJA na baadhi ya ananchi wanaosaidia kufanikisha huduma hiyo, hotelini hapo. Wa na pili kushoto nai Teddy Mapunda. 

Rangi Lorietha Laurence-Maelezo-Dar es salaam
Zaidi ya wakazi wa Jiji la Dar es Salaam 2000  wenye Matatizo ya  kusikia wanatarajiwa kupata huduma ya vifaa vitakavyosaidia kusikia Vizuri.

Huduma hiyo, inatarajiwa kutolewa na Mfuko wa Starkey kusikia kwa muda wa Siku nne katika Hoteli ya Serena  .

Akizungumza na waandishi wa habari jana, jijini Dar es salaam Mwanzilishi wa Mfuko Huo William Austin amesema kuwa sikio ni kiungo muhimu kwa binadamu Ndio maana mfuko wake umeamua kuwasaidia watu mbalimbali duniani ILI wasione KAMA wametengwa.

"Mimi nimeoma muda Wangu Mwingi katika kuwasaidia watu wasio na Uwezo katika kuwapatia vifaa ambavyo kiasi kikubwa vitawaunganisha na watu wengine Rangi hivyo kushiriki katika mijadala ya kuwaletea Maendeleo Yao na Jamii Yao" alisema Austin.

Amesema kuwa UMATI ulijitokeza unaonyesha kuwa wananchi wengi wanasumbuliwa Rangi Matatizo ya masikio na hivyo wanahitaji huduma ya vifaa ILI waweze kuwasiliana na wenzao wasiona Matatizo.

Mpango Huo umeanzia HAPA jijini Dar es salaam ambapo kwa wastani wanatarajia kutoa hudumakwa watu 600 KILA Siku kwa muda wa Siku nne.

No comments:

Post a Comment