Monday, July 22, 2013

Yanga yaponea chupuchupu kuadhiriwa na URA ya Uganda, yasawazisha dakika za lala salama zafungana mabao 2-2

Mashabiki wa Yanga wakifuatilia mchezo kati ya timu yao hiyo na URA ya Uganda Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jana  jioni. Timu hizo zilitoka sare kwa kufungana mabao 2-2. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
 Didier Kavumbagu wa Yanga, na Munna Allan wa URA ya Uganda, wakiwania mpira katika mchezo huo wa kirafiki wa Kimataifa, uliochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jana.

Wachezaji wa Yanga wakiuchukua mpira uliowapatia goli lao la kwanza katika mchezo huo.

Golikipa wa timu ya URA, akiruka juu kuudaka mpira uliokuwa umeelekezwa langoni kwake katika mchezo huo.

Didier Kavumbagu wa Yanga, na Munna Allan wa URA ya Uganda, wakikimbilia mpira wakati timu hizo zilipopambana katika mchezo wa kirafiki wa Kimataifa, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jana. 
Didier Kavumbagu wa Yanga, akijaribu kumtoka Munna Allan wa URA ya Uganda, wakati timu hizo zilipopambana katika mchezo wa kirafiki wa Kimataifa, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jana. Timu hizo zilitoka sare kwa kufungana mabao 2-2.

No comments:

Post a Comment