Saturday, September 7, 2013

Kampuni ya Silafrica, yakabidhi gari kwa wakala bora


Mmoja wa Wakurugenzi Mwenza wa Kampuni ya Ravi Steel, Hiren Chandarana, akizungumza na wandishi wa habari wakati wa hafla ya kukabidhiwa zawadi yake ya gari baada ya kuibuka mshindi katika shindano la wakala bora wa Kampuni ya Silafrica, inayotengeneza matanki ya maji aina ya Simtank, Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki. Kushoto ni baba yake, Ravi Chandarana. (Picha zote na Kassim Mbarouk)
 
 Meneja Mkuu wa Kampuni ya Silafrica, inayotengeneza matanki ya maji aina ya Simtank, Alpesh Patel (kulia), akimkabidhi funguo ya gari aliloshinda Mkurugenzi Mwenza wa Kampuni ya Ravi Steel, Hiren Chandarana, kwa kuwa wakala bora wa bidhaa za Kampuni hiyo. Katikati ni baba yake, Chandarana, Ravi Chandarana.
 
Meneja Mkuu wa Kampuni ya Silafrica, inayotengeneza matanki ya maji aina ya Simtank, Alpesh Patel (kulia), akimkabidhi funguo ya gari aliloshinda Mkurugenzi Mwenza wa Kampuni ya Ravi Steel, Hiren Chandarana, kwa kuwa wakala bora wa bidhaa za Kampuni hiyo. Katikati ni baba yake, Chandarana, Ravi Chandarana.
 
Mkurugenzi Mwenza wa Kampuni ya Ravi Steel, Hiren Chandarana (kushoto) na baba yake Ravi Chandarana, wakiingia kwenye gari aliloshinda kwa kuwa wakala bora wa bidhaa za Kampuni ya Silafrica, baada ya kukabidhiwa na Meneja Mkuu wa Kampuni ya Silafrica, inayotengeneza matanki ya maji aina ya Simtank, Alpesh Patel (hayupo pichani), wa hafla ya kukabidhi zawadi hiyo, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
 
Meneja Mkuu wa Kampuni ya Silafrica, inayotengeneza matanki ya maji aina ya Simtank, Alpesh Patel, akizungumza na waandishi wa habari, wakati wa hafla ya kukabidhi zawadi ya gari kwa mshindi wa uwakala bora wa bidhaa zinazozalishwa na Kampuni hiyo, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
 
Meneja Mkuu wa Kampuni ya Silafrica, inayotengeneza matanki ya maji aina ya Simtank, Alpesh Patel (kulia), akiwa pamoja na Mkurugenzi Mwenza wa Kampuni ya Ravi Steel, Hiren Chandarana (wa pili kulia) pamoja na baba yake, Ravi Chandarana (wa pili kushoto) pamoja na wafanyakazi wa Silafrica, mara baada ya kukabidhiwa gari lake aliloshinda kwa kuwa wakala bora wa bidhaa za Kampuni hiyo.
 
 
Meneja Mkuu wa Kampuni ya Silafrica, inayotengeneza matanki ya maji aina ya Simtank, Alpesh Patel (wa tatu kulia), akimpongeza Mkurugenzi Mwenza wa Kampuni ya Ravi Steel, Hiren Chandarana (kushoto), mara baada ya kumkabidhi gari lake aliloshinda kwa kuwa wakala bora wa bidhaa za Kampuni hiyo. Wa pili kushoto ni baba yake, Hiren, Ravi Chandarana. 
 
Mkurugenzi Mwenza wa Kampuni ya Ravi Steel, Hiren Chandarana (wa pili kulia), akipongezwa na mama yake, Kalpna Chandarana, mara baada ya kumkabidhi gari lake aliloshinda na Meneja Mkuu wa Kampuni ya Silafrica, inayotengeneza matanki ya maji aina ya Simtank, Alpesh Patel (kushoto), Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Wapili kushoto ni baba yake, Hiren, Ravi Chandarana. 
 
Meneja Mkuu wa Kampuni ya Silafrica, inayotengeneza matanki ya maji aina ya Simtank, Alpesh Patel (kushoto), akipewa mkono wa shukurani na mama yake, Hiren Chandarana kutokana na Kampuni yake, kuwajali Mawakala wake kwa kuwapa zawad. Katikati ni Hiren na baba yake, Ravi Chandarana. 

No comments:

Post a Comment