Monday, September 23, 2013

ONA PICHA ZA SIMBA ALIYEUA MBUZI 47 MOROGORO


Kwa kimombo tunaiita 'life and death', Simba aliyetumia fursa vizuri kwa kujilia mbuzi 47 ameyaonja mauti baada ya kupigwa hadi kufa na Askari wanyamapori.
Simba huyo ambaye amesumbua kwa muda mrefu Mkoani humo maaskari Wanyamapori Mkoani Morogoro wamemwinda na kumuua simba huyo aliyetafuna mbuzi 47 katika Mlima Uluguru eneo la kijiji cha Bagilo kata ya Kinole, Tarafa ya Mkuyuni Mkoani humo.



Askari wanyamapori Wakimchuna ngozi simba

No comments:

Post a Comment